Hoja za Wahariri

By: The Standard Group PLC
  • Summary

  • Wahariri wetu wenye tajriba wanatoa hoja na mitazamo mizito kuhusu masuala yanayogonga vichwa vya habari, kila wiki.
    The Standard Group PLC
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2
Episodes
  • Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia
    Feb 25 2022
    Mwanahabari mstaafu wa kimataifa, Abdu Mtullya anasema vita vya Urusi na Ukraine havistahili na huenda vikaathiri zaidi uchumi duniani, ikiwamo Afrika. Vita hivyo vimesababisha kupanda kwa bei ya mafuta, Urusi ikiendelea kurusha makombora katika ngome za Ukraine, hali ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu mwaka wa 2014.
    Show more Show less
    8 mins
  • Mzozo wa Urusi na Ukraine; Mohamed Abdul-Rahman anachambua
    Feb 22 2022
    Je, unafahamu chimbuko la mgogoro kati ya Urusi na Ukraine, athari zake na unamaanisha nini kwa Afrika na dunia nzima? Mwanahabari/ Mhariri mstaafu na mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Mohamed Abdul-Rahman anasimulia.
    Show more Show less
    15 mins
  • Hoja za Wahariri: Kitendawili cha mili Mto Yala - ndani ya magunia
    Jan 20 2022
    Dunia inazidi kushangazwa na suala la mili zaidi ya 20 kupatikana ndani ya magunia katika Mto Yala. Mili hiyo ina alama na ishara za mateso. Je, waliouliwa ni akina nani na sababu za kuuliwa ni gani? Aidha, twajadili siasa za OKA vilevile usajili wa wapigakura wapya. Ali Manzu anawashirikisha wanahabari, Shisia Wasilwa na Kennedy Wandera katika kudadavua masuala haya.
    Show more Show less
    43 mins

What listeners say about Hoja za Wahariri

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.