• Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?

  • Oct 16 2021
  • Length: 12 mins
  • Podcast

Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?

  • Summary

  • Wagombea mbalimbali wa urais nchini Kenya wanazidi kutoa ahadi wanazosema watatekeleza endapo watashinda uchaguzi wa 2022. Katika podcast hii, wahariri Geoffrey Mung'ou, Roselyne Obala na mwanahabari mwandamizi, Mike Nyagwoka wanajadili iwapo ahadi zenyewe zinatekelezeka au la kwa kuweka kwenye mizani ahadi za sasa na za awali.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Hoja za Wahariri Podcast: Ahadi za wanasiasa; watatekeleza?

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.