• Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

  • Nov 27 2022
  • Length: 18 mins
  • Podcast

Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

  • Summary

  • Bingwa wa tenisi kwa wachezaji chipukizi chini ya miaka kumi na minane, Angela Okutoyi anasema hawaii kubadili uraia. Katika mazungumzo na Ali Hassan Kauleni, Okutoyi amesema wazi kwamba licha ya kupata nafasi ya kufanya hivyo ataendelea kuwakilisha Kenya katika mashindano ya tenesi.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Sitaubadili uraia: Angela Okutoyi | Gumzo na Mwanaspoti Podcast

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.