• Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia

  • Feb 25 2022
  • Length: 8 mins
  • Podcast

Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia

  • Summary

  • Mwanahabari mstaafu wa kimataifa, Abdu Mtullya anasema vita vya Urusi na Ukraine havistahili na huenda vikaathiri zaidi uchumi duniani, ikiwamo Afrika. Vita hivyo vimesababisha kupanda kwa bei ya mafuta, Urusi ikiendelea kurusha makombora katika ngome za Ukraine, hali ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu mwaka wa 2014.
    Show more Show less
activate_Holiday_promo_in_buybox_DT_T2

What listeners say about Vita vya Urusi na Ukraine; athari kwa dunia

Average customer ratings

Reviews - Please select the tabs below to change the source of reviews.