• Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake.
    Sep 11 2024

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Emmanuel Elias Mganga, kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Ilemela Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza nikijibu swali la Msikilizaji linalosema katika maandiko Bibilia imegawajika katika sehemu mbili Agano la Kale na Jipya, anaomba kufahamu uhusiano wake katika mgawanyiko huo?

    L'articolo Ufahamu Uhusiano wa Agano jipya na kale katika mganwanyiko wake. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    26 mins
  • Mfahamu Mfalme Daudi mema alioyafanya katika Utawala wake.
    Sep 11 2024

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, katika kipindi cha Ujumbe wa Bibilia, ikiwa ni muendelezo wa mada ya kukoseana na kusamehana na leo anamzungumzia mfalme Daudi.

    L'articolo Mfahamu Mfalme Daudi mema alioyafanya katika Utawala wake. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    28 mins
  • Je, wafahamu tafakari ya maneno alio ya toa Yesu Msalabani?
    Sep 11 2024

    Ungana nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Studio tupo naye Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, leo hii anaendelea anafundisha juu ya maneno haya “Mungu wangu mbona umeniacha?”

    L'articolo Je, wafahamu tafakari ya maneno alio ya toa Yesu Msalabani? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    53 mins
  • Fahamu juu ya Ukombozi wa Msalaba Mtakatifu.
    Sep 11 2024

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria leo studio tupo naye Padre Peter Choga, akituongoza kutafakari Litania ya Bikira Maria.

    L'articolo Fahamu juu ya Ukombozi wa Msalaba Mtakatifu. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    28 mins
  • Fahamu umuhimu wa mahusiano katika jamii.
    Sep 11 2024

    Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha maadili yetu, leo tupo na Frateri Paschal Kasuna kutoka Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume Busundo, Jimbo Kuu Katoliki Tabora, wanatufundisha juu ya haki na wajibu katika mahusiano.

    L'articolo Fahamu umuhimu wa mahusiano katika jamii. proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    54 mins
  • Ni, kwanini tumpende Bikira Maria?
    Sep 10 2024

    Karibu uungane nami Martin Joseph, katika kipindi cha Tafakari Nasi, leo tupo naye Padre Gidion Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili-Hemba Hemba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma akituongoza kujifunza Umuhimu wa kumpenda Mama Bikira Maria.

    L'articolo Ni, kwanini tumpende Bikira Maria? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    23 mins
  • Je, wafahamu hatua za Kusamehe?
    Sep 10 2024

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, katika kipindi cha Ujumbe wa Bibilia, ikiwa ni muendelezo wa mada ya kukoseana na kusamehana.

    L'articolo Je, wafahamu hatua za Kusamehe? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    45 mins
  • Je, wafahamu maana ya Mungu wangu mbona umeniacha?
    Sep 10 2024

    Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Studio tupo naye Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, leo hii anafundisha juu ya maneno haya “Mungu wangu mbona umeniacha?”

    L'articolo Je, wafahamu maana ya Mungu wangu mbona umeniacha? proviene da Radio Maria.

    Show more Show less
    55 mins